Rais wa Tanzania amezungumza kwa mara ya kwanza tangu uchaguzi wa mwezi Oktoba uliopingwa kuhusu kuzimwa kwa mtandao wa ...
Rais Samia Suluhu Hassan wa Tanzania amefanya uteuzi na utenguzi wa viongozi mbalimbali wa Serikali, akifanya mabadiliko ...
Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan amesema bado kuna watu wanafungwa magerezani bila ya hatia huku Jaji Mkuu akisema uhuru ...
DODOMA: RAIS Dk Samia Suluhu Hassan amesema Tanzania inaelekea kutoka ‘kuzingatia msaada wa afya’ hadi ‘uwekezaji wa afya’ ...
Nchini Tanzania, Rais Samia Suluhu Hassan, amemfuta kazi Waziri wake wa usalama George Simbachawene, huku akifanya mabadiliko ...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amesema kuwa alishtushwa na taarifa za mgomo wa wachezaji wa Taifa Stars kabla ya Fainali za AFCON 2025 kutokana na madai ya posho.
RAIS Samia Saluhu Hassan ameipongeza timu ya taifa ‘Taifa Stars’ kwa kufika 16 bora ya Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON 2025 ...
Rais Samia akemea vikali vitendo vya uvunjifu wa sheria vilivyotokea wakati wa Uchunguzi Mkuu. Na Waandishi wa BBC Chanzo cha picha, Gerson Msigwa Msemaji wa Serikali Gerson Msigwa ametoa ujumbe ...
Ukandamizaji ulishamiri chini ya uongozi wa Rais alietangulia, John Magufuli, kama anavyoelewa vema Tito Magoti, mwanasheria na mwanaharakati ambaye alikamatwa mwaka 2019 na kuwekwa kizuizini bila ya ...
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Emmanuel Nchimbi, anatarajiwa kuongoza uzinduzi wa jengo jipya la Wageni ...
DAR ES SALAAM: Tanzania inaendelea kuwa miongoni mwa nchi za Afrika zenye ukuaji wa haraka wa uchumi, kwa ukuaji wa Pato la ...
Amri hiyo ilikuwa imetolewa kufuatia vurugu za maandamano yaliyotokea siku ya uchaguzi. Na Mariam mjahid & Asha Juma Chanzo cha picha, Reuters Baraza la Katiba la Ivory Coast siku ya Jumanne ...