News
Hatima ya wapi mwili wa Rais wa zamani wa Zambia, Edgar Lungu, utazikwa bado haijulikani, baada ya Mahakama ya Katiba ya Afrika Kusini kukataa ombi la dharura lililowasilishwa na familia ya marehemu.
Raia wa Togo bado wanasubiri kuundwa kwa serikali mpya, kufuatia kujiuzulu kwa timu ya zamani Mei 2. Kujiuzulu kulikuja usiku wa kuamkia kuapishwa kwa Faure Gnassingbé kuwa Waziri Mkuu ikiwa ni ...
Kulingana naye, mpango huo unaweza kuhatarisha maisha ya mateka 20 wa Israel ambao bado wanazuiliwa huko Gaza na wale wa wanajeshi ambao wangejikuta wakishiriki katika operesheni ndefu na hatari.
This time, it is Chinaza Bado’s Birth of a Dynasty (HarperVoyager) which takes the number one spot via indie shops in its launch week, according to data from NielsenIQ BookScan.
Waziri wa mambo ya nje wa Ubelgiji asema hali ya usalama mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo haijaimarika licha ya makubaliano ya amani yaliyotiwa saini mwezi mmoja uliopita .
Mshambuliaji Nicolas Jackson anasakwa kwa udi na uvumba Bayern Munich, huku Alexander Isak, wa Newcastle akiwekwa kando mechi zijazo za maandalizi ya msimu dhidi ya Espanyol na Atletico Madrid ...
Katika mwaka uliotawaliwa na na migogoro, mataifa matano yameendelea kuorodheshwa miongoni mwa mataifa yenye amani zaidi duniani. Wakazi wamefichua jinsi sera na utamaduni vinavyoyafanya maisha ...
LICHA ya kocha Fadlu Davids, kusifu usajili uliofanyika, bado amesema anahitaji mshambuliaji mmoja mwenye uwezo wa kufanya maamuzi binafsi mbele ya lango la pinzani. Akizungumza kutoka nchini Misri ...
Dakika chache baadaye, polisi sita kutoka kituo cha polisi cha Chumbageni waliingia katika nyumba ya Frank. “Kumetokea nini?” mmoja wa polisi hao ambaye alikuwa ni koplo akaniuliza.
Akili yangu ilinituma niende kwa mzee Rajab kule Kisosora. Nilipofika nikamkuta amekaa barazani mwa nyumba yake kwenye kiti chake cha uvivu. Niliposhuka kwenye gari nikamuamkia na kumpa mkono.
Ripoti mpya iliyotolewa leo na Shirika la Afya Duniani WHO imebaini kuwa adhabu ya viboko bado imesambaa kwa kiwango cha kutisha, ikiwakosesha usalama na haki takribani watoto bilioni 1.2 duniani kote ...
Ofisa Habari wa Yanga, Ali Kamwe. KLABU ya Yanga imesema imebakisha mchezaji mmoja tu ili ikamilishe usajili wa nyota wapya kuelekea msimu ujao, huku ikitamka rasmi kuwa mwaka huu watapiga kambi nje ...
Some results have been hidden because they may be inaccessible to you
Show inaccessible results